NENO LA LEO; Kuhusu umbali wa safari ya mafanikio

There is no telling how many miles you will have to run while chasing a dream.

Huwezi kusema ni umbali gani utakimbika kwenyebkukimbiza ndoto yako.

Umbali wa safari ya mafanikio ni mpaka pale utakapofikia mafanikio na utaendelea na safari.
Nakutakia kila la kheri.
TUKO PAMOJA

0 comments: