Fanya mambo haya matano kujiandaa kwa wiki inayoanza kesho.

Mapumziko ya mwisho wa wiki yameisha na kesho ni siku mpya ya wiki mpya. Kama ukiwa na mipango mizuri utakuwa na wiki nzuri na yenye mafanikio makubwa.
Ukikosa mipango mizuri utaishia kupoteza wiki yako.
Fanya mambo yafuatayo kuwa na wiki yenye mafaniki.
1. Weka malengo na mipango ya wiki.
2. Weka ratiba ya kila utakachofanya.
3. Soma kitabu kimoja kwa wiki.
4. Fanya kitu kimoja ambacho hujawahi kiufanya ila ni muhimu kwa mafanikio yako.
5. Jitoe kufanya kazi kwa bidii na maarifa.
Nakutakia wiki njema na yenye mafanikio.
TUKO PAMOJA.

0 comments: