Mambo matano ya kuzingatia ili kuwa na maisha bora.

1. Kula mlo kamili.
2. Kunywa maji mengi.
3. Fanya mazoezi.
4. Pata usingizi wa kutosha.
5. Jifunze jambo jipya kila siku.

0 comments: