NENO LA LEO; Kuhusu Kusema Ukweli

Solid advice: If you always tell the truth, you never have to remember anything!

Ushauri mzito; Kama kila mara unaongea ukweli, huna haja ya kuwa na kumbukumbu.

Ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu kubwa sana kitu ambacho sio rahisi na hivyo utaishia kukamatwa tu.

Ijue kweli nayo kweli itakuweka huru.

Nakutakia kila la kheri.

TUPO PAMOJA.

0 comments: