JE WAJUA; Mamba kumeza mawe.

Baadhi ya wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayo tumboni kwa muda mrefu. Mawe haya huitwa gasrolith.
Mawe haya humsaidia mamba mambo yafuatayo;
1.  Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji.
2. Humsaidia kusaga chakula tumboni.
3. Hufanya tumbo liwe na uzito na kujisikia ameshiba hata kama hajala.

0 comments: