NENO LA LEO; Kuhusu Ukuaji Wa Jamii.

A society grows great when old men plant trees whose shade they know they shall never sit in.

Jamii inakua pale ambapo wazee wanapanda miti huku wakijua hatawapata nafasi ya kukaa kwenye kivuli cha miti hiyo.

Ni lazima tuweze kujali vizazi vijavyo kama tunataka kuwa na maendeleo endelevu.

Nakutakia kila la kheri.

TUKO PAMOJA.

0 comments: