NENO LA LEO; Kuhusu Kupoteza Fursa

Many an opportunity is lost because a man is out looking for four-leaf clovers.

Fursa nyingi zinapotea kwa sababu watu wanatafuta bahati.

Acha kutafuta bahati, fanyia kazi kila fursa inayokuja mbele yako. Kumbuka bahati ni pale maandalizi yanapokutana na fursa.

Nakutakia siku njema.

0 comments: