NENO LA LEO; Kosa kubwa utakalofanya kwenye maisha yako.

Defeat may test you; it need not stop you. If at first you don't succeed, try another way. For every obstacle there is a solution. Nothing in the world can take the place of persistence. The greatest mistake is giving up.

Kushindwa kunaweza kukujaribu, lakini hakuwezi kukuzuia. Kama kwa mara ya kwanz ahujafanikiwa jaribu tena kwa mara nyingine. Kwa kila kikwazo kuna suluhisho. Hakuna kinachoweza kuchukua nafasi ya uvumilivu.

Kosa kubwa unaloweza kufanya kwenye maisha yako ni KUKATA TAMAA.

Kamwe usikate tamaa.

Kamwe kamwe usikate tamaa.

TUPO PAMOJA.

0 comments: