JE WAJUA; Idadi ya mifupa hupungua umri unavyoongezeka.

Binadamu huzaliwa na mifupa 300, lakini mpaka anapokuwa mtu mzima anakuwa amebaki na mifupa 206 tu.
Kinachosababisha mifupa ipungue ni kwamba baadhi ya mifupa huungana na kutengeneza mfupa mmoja.
Pia ndani ya sikio lako kuna mifupa midogo sana kama ulikuwa hujui pia.

0 comments: